Data & AI

Watu Wanatumia Claude ai Kutengeneza YouTube Channels na kuingiza Mamilioni/Mwezi — Hivi Ndivyo

Jifunze jinsi Claude AI inaweza kukusaidia kujenga YouTube channel kamili — kuanzia niche selection, content planning, scripts, thumbnails hadi monetization strategy. Katika video hii nakushirikisha prompts 7 zenye nguvu za kujenga AI YouTube channel ya kiwango cha juu.

☆☆☆☆☆ 0.0 (0 reviews)
3 enrolled
all
Swahili
Rashid Mussa
Rashid Mussa
IT Specialist & Digital Marketer

Share this course

Watu Wanatumia Claude ai Kutengeneza YouTube Channels na kuingiza Mamilioni/Mwezi — Hivi Ndivyo
TSh 1,000
Register to Enroll
  • Watch online + download
  • Full lifetime access
  • Mobile & desktop
  • Certificate of completion

About This Course

Je, unajua kwamba Claude AI sasa inaweza kukusaidia kujenga YouTube channel kamili ya AI kama creator agency zinazolipisha maelfu ya dola? 🤯

Katika video hii nitakuonyesha prompts 7 zenye nguvu unazoweza kutumia kuanzia hatua ya kwanza hadi monetization ya channel yako:

✅ Kuchagua niche yenye CPM kubwa
✅ Kutengeneza brand identity ya channel yako
✅ Kupanga content calendar ya siku 90
✅ Kuandika scripts za video automatically
✅ Kutengeneza SEO titles, thumbnails & tags
✅ Kujenga monetization roadmap beyond AdSense
✅ Repurpose content kwa platforms nyingine

Ikiwa unataka kuanzisha faceless AI YouTube channel, kuongeza productivity yako kama creator, au kutumia AI kukua haraka kwenye YouTube — video hii ni kwa ajili yako.

📌 Watch mpaka mwisho upate prompts zote 7 na jinsi ya kuzitumia kwa ufanisi.

Course Curriculum

Katika lesson hii utafundishwa jinsi ya kutumia prompts 7 za AI kwa ufanisi ili kujenga YouTube channel yenye uwezo wa kuzalisha kipato. Utajifunza hatua kwa hatua namna ya kutumia kila prompt kuanzia kuchagua niche sahihi, kujenga brand ya channel, kupanga content, kuandika scripts, kufanya SEO optimization, hadi kutengeneza mfumo wa monetization. Pia nitakuonyesha mbinu za kujiongeza na kuboresha outputs za AI ili upate matokeo bora zaidi na kuongeza nafasi ya kutengeneza pesa zaidi kupitia YouTube channel yako.

Katika lesson hii utapata PDF maalum yenye prompts zote 7 zilizopangwa vizuri kwa matumizi yako ya kila siku. PDF hii imeandaliwa ili iwe rahisi kwako kurejea, kunakili, na kutumia prompts hizo moja kwa moja unapojenga au kukuza YouTube channel yako. Hii itakusaidia kuharakisha utekelezaji wa yale uliyojifunza na kuhakikisha una mfumo wa kufanya kazi kwa ufanisi zaidi.
About the Instructor
Rashid Mussa
IT Specialist & Digital Marketer

IT Specialist & Digital Marketer | Certified Financial Educator (BoT) |CEO – Tuna Finance Hub |Founder – Tembo Labs. Passionate about building tech solutions and empowering people through financial education & investment

Instructor
View Full Profile