article Opportunities Premium

Nilianza Bila Mtaji – Hii Ndio Safari Yangu ya Online Earning

Watu wengi huamini kwamba ili uanze biashara au kupata pesa mtandaoni, lazima uwe na mtaji mkubwa, vifaa vya gharama kubwa, au connection za watu wakubwa. Ukweli ni kwamba, safari

Rashid Mussa 10 Apr 2026 2 min read 43 10 unlocks

Preview

Mwanzo: Hatua ya Kwanza Ilikuwa Ngumu Kuanza haikuwa rahisi. Nilijikuta nikiwa na maswali mengi kuliko majibu: Nianze na kazi gani? Nitapataje wateja? Hii online earning kweli inalipa? Nilianza kujifunza kupitia video na makala mbalimbali mtandaoni. Nilijifunza kuhusu freelancing, digital marketing, na njia nyingine za kupata kipato online. Lakini ukweli ni kwamba, kujifunza peke yake hakutoshi — nilihitaji kuchukua hatua. Majaribio na Kushindwa Nilijaribu mambo mengi. Wakati mwingine nilijaribu freelancing, mara nyingine nikaingia kwenye content creation. Ukweli ni kwamba, nilishindwa mara…
TSh 500 10 watu wamefungua

Fungua ili uendelee kusoma

Lipa mara moja, pata ufikiaji wa maisha yote wa maudhui haya ya premium.

  • Ufikiaji wa maisha yote
  • Malipo salama kupitia simu (M-Pesa / Tigo)
  • Ufikiaji mara moja baada ya malipo

Ingia ili ufungue maudhui haya

Ingia Sasa

Huna akaunti? Jiandikishe bure

Spread the word

Share this article

Help others discover this story on social or copy the link.

Kuhusu Mwandishi

Rashid Mussa
IT Specialist & Digital Marketer

IT Specialist & Digital Marketer | Certified Financial Educator (BoT) |CEO – Tuna Finance Hub |Founder – Tembo Labs. Passionate about building tech solutions and empowering people through financial education & investment…

View profile
Rashid Mussa
Show your appreciation for this professional ❤️

Huna akaunti? Unaweza kulipa kama mgeni.

TSh

Tayari una akaunti? Ingia